Bongo movie bhana..

Bongo movie bhana..

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Unakuta mwigizaji anaongea lugha mbili kwa wakati mmoja(mkabala) sasa sijui wanakuwa na lengo gani coz unakuta hyo movie ina subtittle..
Mfano:
Mtu anasema
'Nooo' ... Then hapana
'Ilove you so much' .. Then nakupenda sana
'Idont want' .. Then hapo hapo anasema sitaki..
Nmeangalia tu coz nipo kwenye basi otherwise huwa siangaliii
 
Kwenye mabasi ndio pakuzionea, nilidhani umeingia gharama ya popcorn kisha ukaweka pozi sebleni kucheki hiyo mikitu.... Safiri salama mkuu
 
Wadada wa bongo movie drama nyingi sana sijui waliambiwa wakiongea lugha ya malikia ndo kujua kuigiza.........
 
Ni msistizo wanaongea na kujitafsiria wenyewe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
GABO na Sepetu hawa sasa wanajaribu kuleta chachumpya ya bongo movie..
 
Back
Top Bottom