Jinsi ya kusevu picha kwenye mtandao wa INTAGRAM

Jinsi ya kusevu picha kwenye mtandao wa INTAGRAM

Pancho panchilo

Senior Member
Joined
May 18, 2017
Posts
121
Reaction score
95
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavojieleza. Msaada wa jinsi ya kusave picha INSTAGRAM ije kwenye gallaries...
Nawasilisha

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Picha ya nani?
Kama ni ya Wema Sepetu mie najua..!
 
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavojieleza. Msaada wa jinsi ya kusave picha INSTAGRAM ije kwenye gallaries...
Nawasilisha

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
Ushaelewa ama nikuongezee maujnja mkuu

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Pumbaaavu screenshot kaz ake ni nin watu wengine vilaza wahenga
 
Back
Top Bottom