Amazing! America has talent.

Amazing! America has talent.

that was some music!!
halaf hapo kaimba live, siye ukisikia wasanii wetu wanaimba live uta shangaa
 
Yuko vizuri. Hata mimi sipendi kuimba nimemkubali.
 
Dogo ana kipaji kikubwa sana..hata hapa bongo watu wenye kipaji wapo sema uwezo wa kuendeleza kazi na kuwa na heshima ya kazi ndio hakuna/....
 
Ameutendea haki!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Jamaa yupo vzr sanaa aisee nimejikuta nampigia makofii Japo hanioni

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom