Download hapa nyimbo yangu BINADAMU WA LEO

Download hapa nyimbo yangu BINADAMU WA LEO

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Downlaod na usikie nyimbo yangu inaitwa BINADAMU WA LEO,

Sina management kama umeipenda kazi yangu na una Nia ya kunisogeza hatua moja mbele tuwasiliane Pm,

Nina kazi nyingi hii ni moja wapo tu

Pia kama umedownload na kuisikia naomba maoni yako kipi nifanye au niongeze kwenye kazi zangu zingine.
Asanteni sana

Music | Chonda Jr. – Binadamu wa Leo | New Music Audio


.
 
e334f35148dbe14de1885f2a3c357475.jpg


Ukiingia kwenye link ili Uweze kudownload haraka bonyeza hayo maandishi mekundu yaliyoandikwa,
Chonda Jr - binadamu wa Leo .
 
Haya,ni wa CHADEMA au ccm?

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom