SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Habari wana JF na JF kwa ujumla.
Kuna wimbo mmoja siukumbuki jina kabisa aliimba Bizman kwenye ile Album yake ya Nipe Muda.
Maudhui ya wimbo huu yanahusu maisha ya mwanaume na mwanamke kwenye ndoa (mume na mke), kwamba inapotokea ugomvi mwanaume asijione ana msuli wa kuweza hata kumuua mwanamke lakini mwanamke ana ubavu kuliko mwanaume kwakuwa anaweza kumua hata kwa kumpa ua na kulinusa. Moja ya mashairi aliyoimba kwenye wimbo huo ni:
"Kwa mke sina ujanja,
Atanikosha viganja,
Kwa ungaunga wa wanja,
Huyu kwangu mimi kiranja."...............
Mwenye wimbo huu tafadhali naomba sana.
Asanteni sana.
Sent from my SM-G900T using JamiiForums mobile app