Dah wimbo wa Kanda Bongoman Muchana unanidondosha machozi hapa

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,695
29,030
Mzuka wanaJF na habari za mchana!

Huu wimbo unanikumbusha mbali sana yani mbali sana. Demu wangu mrembo aliupenda sana sasa hivi yuko mbinguni. Sijausikiza mda mrefu sana.

Nimejikuta naufungua youtube na machozi kutiririka. Kanda Bongoman pamoja na wale wanawake wawili wameuimba jamani. Sauti zao nzuri utadhani malaika. Hata kama maneno wanayoimba hufaham lakini.

Panapochanganya zaidi ni lile gitaa. Thanks Kanda Bongoman for this wonderful song.

Je wewe mwanajamvi unakukumbusha wapi Huu wimbo MUCHANA. Ebu tuburudike mchana Huu.
 
yes,kipindi hicho nchi imetulia na ina adabu,unakumbuka kiingilio cha 100,000tshs pale Kilimanjaro? ili kwenda kwenye onyesho lake.
 
Mzuka wanaJF na habari za mchana!

Huu wimbo unanikumbusha mbali sana yani mbali sana. Demu wangu mrembo aliupenda sana sasa hivi yuko mbinguni. Sijausikiza mda mrefu sana.

Nimejikuta naufungua youtube na machozi kutiririka. Kanda Bongoman pamoja na wale wanawake wawili wameuimba jamani. Sauti zao nzuri utadhani malaika. Hata kama maneno wanayoimba hufaham lakini.

Panapochanganya zaidi ni lile gitaa. Thanks Kanda Bongoman for this wonderful song.

Je wewe mwanajamvi unakukumbusha wapi Huu wimbo MUCHANA. Ebu tuburudike mchana Huu.

Mkuu kwa kweli na Mimi umenigusa sana
 
enzi zile niko mdogo sana natumwa kufata redio chumbani una mletea dingi amekaa kwenye kikome...
noma sana ngoma zilipigwa siku zimenunuliwa betri mpya...enzi za RTD
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom