Nina wazo la kutunga filamu ya Dr. Slaa vs Lowassa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina wazo la kutunga filamu ya Dr. Slaa vs Lowassa

Discussion in 'Entertainment' started by Godwine, Oct 28, 2011.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nadhani kwa wanaojua matukio ya kisiasa ya taifa letu wanajua ninachomaanisha yani utungaji huu wa sinema utahusisha moja kwa moja kati ya mapambano ya kuzuia rasilimali za nchi na mwingine akionyesha jinsi gani ya kupita katika maisha magumu ya kisiasa

  Note:

  Ninajitahidi kuwashirikisha katika midaharo ya moja kwa moja na live watu hawa
  pia nitatumia historia zao katika kukamilisha move hii

  Wazo
  Je nani awe star na nani awe kubwa la maadui?
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Kubwa la Maadui Lowasa. Sterling DR.
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Lowassa huyu mgombea wa chadema 2015 (urais)
   
 4. G

  Godwine JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  naona unaongeza vitendawili vingine kwenye sinema kabla haijaanza
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lowassa huyu rais wa 2015 na dr slaa huyu rais kivuli?
   
 6. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  we uko mbali na hii dunia lowasa ni mgombea urais wa 2015 kupitia cck

  CHADEMA hawako tayari kulipokea li fisadfi nyangumi.

  na hii movie itakuwa tayari lini? mkuu mwandaaji.
   
 7. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Lowasa alishasema mara nyingi hajakutana na Kikwete barabarani,yeye ndiye atakayetumwa na ccm kugombea urais, huku CDM unamsingizia tu!!!!!
   
 8. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr John Pombe Magufuli 2015-2025! Zitto Zuberi Kabwe 2025-2030!
   
 9. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Keep it real.
   
 10. G

  Godwine JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kukamilisha nadhani inaweza kuwa documentary au sinema ya kisiasa yenye mauzo makubwa kwa historia ya nchi yetu
   
 11. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #11
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Keep on dreaming and when you wakeup remember to chase your dream.
   
 12. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #12
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ucjali mkuku 2takusaport kwa kila hal kwan n moja ya njia za kuelmisha umma
   
 13. k

  kaluu Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazo la maana sana,,,
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  ntakuchangia hela, utapokuwa tayari niambie
   
 15. G

  Godwine JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mipango ya kuanza kutayarisha sinema yenyewe na mawazo mawazo mengine toka kwenu ndio huu kwani kabla ya 2014 sinema hii inatakiwa tayari imeingia sokoni.... na tunatarajia kuifanya ya kisasa zaidi katika sinema za kisiasa zilizowai kutoka katika taifa letu
   
 16. GANJA ROLLER

  GANJA ROLLER JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2015
  Joined: Sep 8, 2014
  Messages: 693
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Dah! Noma kweli
   
 17. GANJA ROLLER

  GANJA ROLLER JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2015
  Joined: Sep 8, 2014
  Messages: 693
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ah! Dunia hiii?!
   
 18. Col Miraji

  Col Miraji JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2017
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 549
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 80
  Mhenga

  Sent from potent potables
   
Loading...