Hallo,
Kwa wale wanaopenda kupata taarifa ya kisiasa, michezo na vinginevyo, basi kuna chanel mya ya youtube inayeitwa Dakika 3 ambayo inatoa taarifa kwa dakika tatu.
Hii ni halka ya kwanza.
Habari wana jamvi kuna wimbo wa mwijuma muumini unaimwa "MAPENZI GANI YA SAFARINI ,
YA KUDANGANYANA MAMA WEWE UNAKWENDA SONGEA BWANA ANAKWENDA MTWARA"
Tafadhalini naupenda sana nisaidieni wana jamvi.
Hawa jamaa E fm unajua wanaweza kuwapindua ki ushawishi na usikilizwaji clouds media. Maana leo kila kona yani mji mzima wazee kwa vijana naona wameshika kasi kuelekea Tanganyika Packers...
OFAA OFAAA OFAAAAA
Kama wewe ni masanii wa muuziki wa aina yoyote na umeshatengeneza audio yako unataka ku shoot video nzuri na yenye kiwango cha juu kulingana na soko la Africa Mashariki kwa...
Teacher Isack,hapa kazi tu
Bora uwe mshumaa,uteketee mpaka mwisho
Kumulikia wengine,mpaka mwanga uonekana
Kuliko kuwa sabuni,kusafishia mafisadi
Kukandamiza wanyonge,hata mungu hapendezi
We raisi...
Ktk album ya Jigga 4:44 kuna hii ngoma na jina LA ngoma tu lilivyo nilihisi ni story ya MTU kwa hilo jina so nikaipakua kusikiliza nini haswa kimezungumziwa,Na kwa asilimia kubwa haikuwa km...
hello,
kuna huu wimbo wa zamani, uliimbwa na john woka au ras lion i guess, part yake inaimbwa hivi
"UMASKINI HUU, UMASKINI HUU, UMASKINI HUU UTAISHA LINI" half kwenye video ya hii song...
Basi Kama ulipita skauti au ulikimbia mchaka mchaka au michezoni kuna nyimbo mbali mbali mliimba.
Binafsi leo kuna mmoja nimeusikia kwenye video ya whasapp nimecheka sanaa...
".....Ukipigwa...
Aisee hiyo biti ni kali. Sasa najiuliza nani katengeneza hiyo beat kali namna hiyo. Maana sidhani kama ni Laizer mzee wa kusample.
Ukicheki mdundo wa wimbo mpya Harmonize sina unajua kabisa ni...
Habari zenu mashabiki wa Hip-Hop! Leo ningependa tuelezane mambo mbalimba kuhusu music huu ili na wengine wajifunze.
Yawezekana kabisa wengi wetu hapa hatujui kwamba hip-hop ina matawi mengine...
Nikiri nimechelewa kuiangalia hii movie ila ni nzuri saana. Nimeskia soundtrack ya wimbo wa kiswahili sijui nani aliuimba "sikiliza wahenga".
Na Jordan Peele alivyolink soundtrack na maudhui ya...
Nimekuwa nikifuatilia humu mitandaoni na kwenye media mbalimbali za Bongo ambapo naona kuna kitu hakifanyiki sawa na inabidi tume ya Fair competition iingilie kati.
Unakuta presenter kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.