Nisaidieni jina la huu wimbo

Habari wana jamvi kuna wimbo wa mwijuma muumini unaimwa "MAPENZI GANI YA SAFARINI ,
YA KUDANGANYANA MAMA WEWE UNAKWENDA SONGEA BWANA ANAKWENDA MTWARA"
Tafadhalini naupenda sana nisaidieni wana jamvi.
Search Google
 
Back
Top Bottom