iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 221
ndiyo ilianza kufungua pazia la movie za kibongo nawakumbuka baadhi ya washiriki wa filamu ile kama TID,NINA,MONALISA,BARA na BEKA MAKUKA.

Mimi namkumbuka Sauda Simba Kilumanga alikuwa mama wa Mona katika hiyo movie.
mi namkumbuka TID na Mona
Mimi ata sikubahatika kuiona............
hiyo movie siku wanachukua vipande pale BM salon watu walijazana sana kushangaa!kipindi hiko TID ni TID kweli
mi namkumbuka TID na Mona
Zuwena alafu TID alikuwa anaitwa nani vile? Dah enzi za primary hizo tukimaliza kusimuliana No retreat no surrender tunahamia kwenye girldriend na Augua! Lol
ndiyo ilianza kufungua pazia la movie za kibongo nawakumbuka baadhi ya washiriki wa filamu ile kama TID,NINA,MONALISA,BARA na BEKA MAKUKA.
GK Aliigiza kama mtu wa vimwana na msanii mwenye mafanikio then akapita na Mona ili amsaidie mpenzi wake TID kutoka. AY aliigiza kama rafiki wa karibu wa GK. BUFF aliigiza kama Producer. Pia Jay moe kama Kinyozi. Big alikuwa Boss wa kaka yake TID.