Mashindano ya Kubeba Wake

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,481
2,000
Je watanzania mnasemaje nasi tuanzishe mwashindano ya kukimbia tukiwa tumebeba wake zetu? Nadhani yana raha yake. 

Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,232
1,225
Hiyo safi sana Mzee,

Niliwahi kushiriki shindano kama hilo ktk parents fun day, it was really fun
 

Jembajemba

JF-Expert Member
Feb 3, 2007
257
170
Wazungu kwa kuvumbua mambo, sasa haya mashindano yanataka huyo m'mke lazima awe mkeo au?
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,481
2,000
Natamani sana kushiriki mashindano haya lakini sijapatia nafasi. Hebu anbgalia utamu mwingine huu:
Usiombe haya yakakukuta na kumbwaga malkia wako kwenye maji machafu namna hii

 

RR

JF-Expert Member
Mar 17, 2007
6,883
2,000
Wana JF,
Hii itasaidia sana; especially kwa wale wake ambao wanashindwa kuzuia kuongezeka nyama kwa miili yao.
Itabidi kumkomalia apunguze uzito kwa 'KISINGIZIO' cha mashindano.
Ila italeta problem kwa wale wapendao bantu figaz.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom