Chanel Mpya Ya Youtube Yaanzishwa

Chanel Mpya Ya Youtube Yaanzishwa

Joined
Jul 9, 2017
Posts
27
Reaction score
3
Hallo,
Kwa wale wanaopenda kupata taarifa ya kisiasa, michezo na vinginevyo, basi kuna chanel mya ya youtube inayeitwa Dakika 3 ambayo inatoa taarifa kwa dakika tatu.

Hii ni halka ya kwanza.

 
Mbona hivi?
JF we dare to...... malizia mwenyewe
Nimesoma tangazo nimechangia maoni yangu shida iko wapi?
Tutukuzeee tuuuu upuuzi ' Give me a break khaaa!
Apane Guda... Ok
 
Kazi nzuri kumbuka ni serikali sio serekali
 
Back
Top Bottom