okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,653
hello,
kuna huu wimbo wa zamani, uliimbwa na john woka au ras lion i guess, part yake inaimbwa hivi
"UMASKINI HUU, UMASKINI HUU, UMASKINI HUU UTAISHA LINI" half kwenye video ya hii song inaonesha nyumba za udongo na mtu anafua nguo kwa kutumia majani ya mpapai.
Mwenye huu wimbo au link yake naomba antumie nimejaribu kuutafuta youtube na google nimeukosa.