Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Nikiri nimechelewa kuiangalia hii movie ila ni nzuri saana. Nimeskia soundtrack ya wimbo wa kiswahili sijui nani aliuimba "sikiliza wahenga".
Na Jordan Peele alivyolink soundtrack na maudhui ya movie, daah wenzetu wapo creative saana. Kwa mlioiangalia ni wimbo wa nani huu? Na nimependa kusikia kiswahili kwenye movie kubwa kama hii.