Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Salaam wakuu,kuna remix ya wimbo akatambala imeimbwa na saida karoli nimeisikia Leo kwenye kituo kimoja cha redio.Nimejaribu kuitafuta mitandaoni lakini sijafanikiwa,kama kuna aneweza kufanikisha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Bakayoka Monaco fc kwenda Chealsea
0 Reactions
0 Replies
880 Views
UPEPO WA USIKU-3 BONIFACE BIRAGE Upepo ulitoa kama mlio wa ulalamishi flani hivi!Matawi yalizidi kulalama na katika ule ulalamishi kulionesha kwamba kuna dalili nje!Dalili ya mvua kunyesha! Bario...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kiukweli me nashindwa kuelewa sijui wana matatizo gani...eti nasikia wanatamani hâta anko Magu awe wao sijui wamelimisi rhumba kali?!!..wanaona sie tunafaiidi dozi ya kupauka nguo mpaka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
mzee wa mask off soon anadondoka dar kuja kuandika historia na lazima niwepo pale na nahitaji mbebez wakwenda nae najua mpo humu na midomo imewakauka usijali utakunywa savana mpaka ujikojolee hela...
0 Reactions
7 Replies
896 Views
Habari vipi wakuu?? Nilikuwa nachek itv mida fulani naona wakaweka ile tamthilia ya Wakenya ya cobra squad, niliwahi kuichek kipindi fulani but kwa sasa naanza kuielewa coz walipata support kubwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Ni milongo 3 hivi takribani Tz tuanze Kuact Movie za Kidrama ambazo zikiwahusisha Ma actors kama kina Insp.Seba,kina Jimmy na wenzao Wengi. ila hapo awali nildhan ili movie yako iwe nzur lazma na...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wana jf,polen na majkum ya kila siku. leo nashuka kwenu kuwaomba wale wenye audio za album ya bongo flev ya kund la Hard Blasterz Crew(HBC),lilokua lnaundwa na Niger Jay(Prof...
1 Reactions
8 Replies
60K Views
Ningependa kushea maoni na wapenda soka wenzangu kuhusu mada tajwa hapo juu. Binafsi ni mpenzi na shabiki damu wa Manchester United. Naomani kabisa Romelu Lukaku, Marcus Rashford, Ander Herera...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wananzengo habarini mlioko vijiweni tulioko makazini na walioko wanakojuwa wao naamin sote tuwazima Queen of the Best Melody’s huyu mtu kama namuelewa flan hatar anakaz tam tam hatar moja ya...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
CEO wa WCB kaachia tena video ya ngoma ya Eneka kama alivyotoa ahadi ngoma baada ya ngoma, Ipo poa au kazingua?
9 Reactions
106 Replies
24K Views
Nadhani kwa wanaojua matukio ya kisiasa ya taifa letu wanajua ninachomaanisha yani utungaji huu wa sinema utahusisha moja kwa moja kati ya mapambano ya kuzuia rasilimali za nchi na mwingine...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kusema kweli, hakuna nyimbo inayo ji replay kwenye computer yangu kama huu wimbo. Ana ngomq nyingine inaitwa luck me. Hakika natangaza kwa moyo wa dhati kuwa shabiki wa GNako Sent from my VFD...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwavile Radio Free Africa na StarTV hazipo hewani (zinatangaza matangazo ya wengine) nawashauri BBC DIRA YA DUNIA TV hamishieni taarifa hio ya habari ITV au kwingine mtakakoona kunafaa Ni vema...
2 Reactions
3 Replies
983 Views
Kwenye goma jipya la unatafuta kiki la Niki Unju mbishi kajiita niki bashite anazungusha zero nimecheka sana. Ila Niki najua upo hapa jf,ndugu yangu una mistari na flow kali sana,yaani hii ngoma...
1 Reactions
27 Replies
10K Views
SIKU ITAKAPOFIKA Hiyo siku ikifika, nafsi kuuacha mwili, Kalamu zitaandika,mara lile mara hili, Wengi watahuzunika,na kushindwa kuhimili, Siku itakapofika, mwili utapumzika. Sijui ni kwa...
0 Reactions
5 Replies
832 Views
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavojieleza. Msaada wa jinsi ya kusave picha INSTAGRAM ije kwenye gallaries... Nawasilisha Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mama mmoja aliamua kumtembelea mtoto wake wa kiume anayesoma chuo kikuu katika HOSTEL aliyopanga ili wale chakula cha jioni pamoja..[emoji492][emoji502] Alipofika hapo chumbani kwa mtoto wake...
10 Reactions
11 Replies
2K Views
Unakuta mwigizaji anaongea lugha mbili kwa wakati mmoja(mkabala) sasa sijui wanakuwa na lengo gani coz unakuta hyo movie ina subtittle.. Mfano: Mtu anasema 'Nooo' ... Then hapana 'Ilove you so...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom