Nani katengeneza bit ya Sheri ya Mavoko?

Nani katengeneza bit ya Sheri ya Mavoko?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,761
Reaction score
5,810
Aisee hiyo biti ni kali. Sasa najiuliza nani katengeneza hiyo beat kali namna hiyo. Maana sidhani kama ni Laizer mzee wa kusample.

Ukicheki mdundo wa wimbo mpya Harmonize sina unajua kabisa ni Laizer.

Hongera kwa nyimbo kali. Biti za Laizer ni duni na nyepesi sana
 
Tekno miles

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Ila kweli laizer anaboa na beat zake..beat moja inaweza kutumika na wasanii wote wa WCB..ubunifu anapoteza
 
Wanaigeria beat zinawabeba sana. Ila hata hapa bongo kuna watu wanazipika vizuri ula laizer nimemchoka
 
Aisee hiyo biti ni kali. Sasa najiuliza nani katengeneza hiyo beat kali namna hiyo. Maana sidhani kama ni laizer mzee wa kusample.
Ukicheki mdundo wa wimbo mpya harmonize sina unajua kabisa ni laizer.

Hongera kwa nyimbo kali. Biti za laizer ni duni na nyepesi sana
Kaiba kwa wanigeria.
 
Mmemponda mond weeee mkahamia kwa harmonize sasa mmehamia kwa laizer......
Huu mkimbize kimbize haujawahi kuwaacha ma hater salama.....
Laizer is a genious,lazima wasafi wawe na id yao.Pia kusema ku sample mnakosea sana.Dunia yote ina bezi kwenye midundo fulani kwa wakati fulani.
Mfano mzuri sikiliza wimbo wa eneka,fall,if kwa mbali na ule wa kina Pquare wa AWAY.Kuna midundo fulani ina emerge hapa africa.
Ama sivyo ndo mana wasanii wenu wana miaka kibao kwenye gemu BADO WAPO VILE VILE.Hawataki kuendana na soko la sasa la muziki.
KIZURI KINAIGWA
 
Punguza kuwapa za uso wenzio duh
 
Beat ni ABBa aliye produce Pia ile UTANIPENDA ya Darasa ft Rich mavoko..
 
Wataala wa muziki kwenye mitandao wameongezeka nchi hii
 
Rich mavoko kuna nyimbo mpya nayo nacho ni nzuri ila hajatoa video inaitwa wanakutamani. Iko poa kwa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom