Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wadau, Hivi kuna mtangazaji gani unayemfahamu (wa zamani au wa sasa) aliye mkali katika habari ya vionjo mbalimbali vya music anayemzidi Masoud Masoud? Kidogo anafuatiwa na Charles...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Ivi mwaka huu hamna dance 100% au ikoje hii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
791 Views
AYA: Wimbo wa Gaidi MTUNZI: Hussein Tuwa UTANGULIZI Ni miaka mitatu tangu kuuawa kwa Osama bin Laden nchini Pakistan. Wanamgambo wa Al-Qaida wamesambaratika. Wengi miongoni mwao wameuawa...
6 Reactions
42 Replies
20K Views
Usicoment hapa kama huna vina, hatutafuti majina, natiririka na vina,mpaka wapinzani wanasimama wima, Moyo umekua mwepesi, sababu ya vitu vingi tumevitupilia mbali. Wakati wowote ule unapohitaji...
0 Reactions
19 Replies
21K Views
Nafikiri sio mbaya kwa mchezaji wa Yanga SC kuacha soksi za jezi zao mbele ya ofisi za Simba SC. Eeewaaah si hata mechi zikiisha huwa wanapeana jezi. Me nipo Tabata hapa kwa Kiba nakula Diamond...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hawa jamaa wamenishangaza kwa kipaji chao cha kuweza kuimba kwa pamoja na kupiga vyombo bila kupishana. Walichokifanya humu ndicho wasanii wengi wa siku hizi hawana (HARMONY) CC: Red Giant ...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu... Kwa wadau wa series hebu tuambie unamkubali nani. Binafsi namkubali na kumpenda sana Jack Bauer wa 24 Hrs. Anajua kuvaa uharisia wa hali zote. Ni mzalendo na anajua namna ya kuwavuta...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Nyimbo iliyopigiwa promo ya kufa mtu ya mwanamziki Ally Kiba kumbe ilikuwa na utamu wa Big G! Ndani ya wiki moja imechuja na sasa truck kutoka wasafi record inayoitwa Zilipendwa imepanda chati...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kiukweli bongo fleva sasa ni biashara,vile utakavyoweza kuwateka mashabiki,..haina tofauti na yule mkorea gangnam style,sio kwamba ni good music ila mbwembwe nyingi..same happend to ali kibas...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa wale wanaofaham... Naomba kuuliza Kama kuna fta Chanel zinaweza kuongezwa kwenye muelekeo wa Dstv... Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu ndugu zangu.Ni miaka inazidi kukatika sijasikia habari zozote za Mwinjuma muumini.Yuko wapi?Muziki vp?
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Nakupongeza kwa kurejea. Ulituvuruga sana hapa mashabiki wako wa damu na zile ishu za mafuta... Mambo ya ebitoke na affairs zako nyingine za mapenzi hayatuhusu.. Jana umeguguma sana XXL...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Hili kundi naona limepoteza muelekeo sikuiz,matangazo nayo yamekua part ya program, hata kipengele rahisi cha songi la leo kila siku kurudia tu. Ushauri wangu kwao ni kua wasione aibu kutangaza...
2 Reactions
38 Replies
10K Views
Kinachoendelea kwa sasa katika kituo cha redio cha Clouds ni shamra shamra za uzinduzi wa Tamasha la Fiesta chini ya udhamini wa mtandao wa simu wa Tigo. Kati ya watumbuizaji wa tamasha hilo ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Moja ya nyimbo nzuri kwa mwaka huu ni pamoja na ya huyu kijana. Kwangu mimi, huyu ni moja ya vile vipaji halisi katika tasnia ya burudani... Ngoma yake mpya ya Libebe kamalizaa Pitia youtube...
3 Reactions
11 Replies
6K Views
Wanandugu nimekuwa na maswali mengi bila majibu kuhusu hiki kinaitwa fiesta, Wao wanaita msimu wa fiesta naona hata baadhi ya viongozi wanalinadi jambo hilo, Sasa mimi Labda ushamba wangu wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…