Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mambo ya singeli mitaa ya mbagala kwetu hiyo, ni mwendo wa kugombaniwa tuu mpk utoee [emoji39][emoji39][emoji39]
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu...heading ya kukuvuta tu haihusiki ila sijui hiki mtakiitaje kipaji au ni nin maana Wakati mwingine huwa najishangaa haswa pale napokamata kalamu na daftari langu flani hivi...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Watu waachwe wafanye shughuli zao za kupambana na hali zao na kujiletea maendeleo huko mikoani badala ya kupumbazwa kwa starehe za wapiga dili. Tigo fiesta haina tofauti na mikutano ya siasa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Wanajamii Forum Mwandishi, Abdallah J. Safari. Leo ngoja niwaletee riwaya moja ambayo kwa hapa kwetu Tanzania inaweza ikatuangazia sana maisha yetu.Riwaya inaitwa Joka la Mdimu. JOKA LA...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Leave comment regarding to what photo say.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nawasalimu nyote, lakini salamu aidi iwafikie nyote mlio wadau wa nyimbo toka Congo. Ninaomba kwa yeyote anayejua Lingala anisaidie kujua Tafsiri au maana ya wimbo wa Ferre Goma -Maboko Pamba...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
"Chawa" maarufu wa Mkoa wa Dar , Bwana "Lemtumboz" alitoa ujumbe kupitia Instagram juu ya onyesho OMARION lililofanyika Elements na kumalizwa kiubabe kabla ya muda uliopangwa. Unadhani hili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mm Ni Kijana Mwenye Miaka Kumi Na Nane Na Niniakipaji cha kuimba lakin sijapata mdhani wa kunidhamin ili nitoe nyimbo yangu! Kama unataka kunisaidia nisaidie ili nitoe nyimbo ambayo tayari...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau ngoma hiyo hapo tuichek co maneno mengi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wahenga mliokaa maeneo ya Dsm hasa kinondoni,huyu mzee hamuwezi kumsaha.kipindi hicho mtoto km hataki kuoga au kula we mwambie mzee magambo yupo mlangoni utamkuta bafuni anakusubiri na mlango...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Mkali na nguri wa hip hop Tanzania na Africa Mashariki, Juma Nature na Harmorapa watakuwa Kakola Bulyanhulu usiku huu katika ukumbi wa Bar moja maarufu iitwayo Matako Bar mkabala na Bar nyingine...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nakumbuka nilivyokuwa dogo, wilaya ya moshi mjini huko, kipindi cha Kampeni utasikia nyimbo za vijembe za Mama Minde aliyegombea ubunge Mara kadhaa na kukutana na upinzani mkali wa Ndesa Pesa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Hizi movies huwa ni nzuri sana hasa zile zinazoelezea historia za nchi mbalimbali za Africa kama vile jinsi zilivyo struggle kupata uhuru au kuonyesha jinsi mataifa hayo yalivyokuwa governed...
2 Reactions
39 Replies
11K Views
Bondia muingereza antony joshua maarufu kama (AJ) anaesimama na rekodi yake ya kupigana mapambano 19,na kushinda yte 19 kwa k.o,aliejizolea umaarufu mkubwa kwnye ulimwengu wa boxing baada ya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Usalama ni pale unapojilinda wewe na mali zako toa maoni yako kuhusiana na picha husika ya Usalama
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je ni jinsi gani umeifurahia siku ya kuzaliwa kwa kiongozi mashughuli Tanzania Dr. John Pombe Magufuli.? Swali ni kwamba inaumuhimu kwa watanzania kuienzi sherehe hii kila mwaka ifikapo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu mwenye movie inayoitwa JERUSALEMA ANISAIDIE ,youtube ipo ilza inaongea kijerumani sasa mimi nataka ile orijino ya kiswahili Asanteni
0 Reactions
0 Replies
659 Views
najiuliza tatizo ni hatuna wakimbiaji wazuri au tatizo ni nini jamani it's real boaring kila marathoni kubwa unayoisikia duniani ni wakenya, Ethiopia. Eritrea mwakyembe angalia na upande huu wa...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
sisi ambao tumekuwepo miaka ya nyuma mika ile muzik wa zaile umetapakaa nchi na kwa ujumla bara zima la africa nadhan mnakumbuka kulivyokuwa na mpambano wa kukata na shoka kat ya kanda bongoman na...
3 Reactions
43 Replies
15K Views
Habari wana Jf, na Heri ya mwaka mpya 2014. Binafsi ni mpenzi sana wa muziki haswa nkiwa chumbani kwangu, ila kwa muda sasa nmezitafuta hizi nyimbo Nimekusamehe by Hamza Kalala na wa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom