Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Leave comment regarding to what photo say.
Aiseee hiyo picha ina utata.Kwa muonekano mwingine ni kuwa binadamu wa leo hawataki kusaidiana yani kila mtu na mambo yakeSijaelewa kwamba Wanaume wamechoka kutumika kama ngaz kwa wanawake au vp?
Yah ni kwel labda limewekwa kama fumbo kila mtu atafsir kwa namna yake.Aiseee hiyo picha ina utata.Kwa muonekano mwingine ni kuwa binadamu wa leo hawataki kusaidiana yani kila mtu na mambo yake