Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wahenga, tukumbushane mbwembwe za Juma Pondamali, alikua analeta burdani kwenye soka hamna tena.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu mi kama naona vile Linex kwenye chorus huwa anasound poa,katika nyimbo unazozipenda nani alikuvutia kwenye chorus?
0 Reactions
106 Replies
15K Views
Hakuna ubishi kwamba huu muziki ndiyo unaosumbua zaidi kwa sasa duniani!! Chart mbali mbali duniani zimekuwa zikimezwa na huu muziki, Kuanzia Billboard, Uk top 40 na nyinginezo! Imefika wakati...
2 Reactions
89 Replies
11K Views
Habari wadau,,,,inakuaje mwanaume hupitiwa na usingizi mzito pindi anapomaliza sex tofauti na mwanamke
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari wana jf, nina mpango wa kufungu kitu kinachoitwa Library ( yaani kwa ajili ya kuuza filamu ) sasa nilikuwa nina ombi moja kwenu wakuu wangu mnisaidie list za muvi kali iwe ni sirizi au hata...
0 Reactions
6 Replies
18K Views
Habari wadau kuna wimbo joti kaucheza unapenda kufaham nani aliuimba wimbo huu Na unaitwa Je wale wazee wazamani mnisaidie link hii hapa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanabodi, nina mpango wa kuanza kutunga mashairi ya bongo fleva na hivyo kuwa msanii wa Muziki huu, Lengo ni kuja na 'mashairi ' yatakayo wapagawisha watu wa makundi yote.. Ushauri wenu juu ya...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Baada ya kuangalia inakoelekea nchi yetu, Baada ya yaliyomtokea Tundu Lissu,the great, Mimi kama kijana wa Chadema naomba nikutafsirie wimbo huu wa Luke dube. Ni mzuri mheshimiwa, utaupenda, hata...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii tabia ya wasanii bongo kutunga mashairi tata siielewi kabisa kuna wakati inakuwa ngumu kusikiliza au kutazama na familia. Kwa mliosikiliza huu wimbo wa Madada Sita unaitwa Usingoje ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tamthilia maarufu ya Marekani Quantico imetumia lugha ya kiswahili katika episode yake ya kwanza season(msimu) ya pili.Tamthilia inayoigizwa na Muigizaji maarufu wa India Priyanka Chopra imetumia...
5 Reactions
32 Replies
9K Views
Kwanza nampongeza aliyefikiria wazo ili la kukutanisha wasanii wote kuzunguka mikoani na kutoa burudani. Ni uzalendo.Hawa wanao jitenga aidha ktk kujiona kuwa wao ni masitaa au wanataka dau...
0 Reactions
4 Replies
928 Views
Hakika ni bonge la wimbo toka kwa marehemu pepe kale naomba anaejua kuutafsir maana yake napenda sana kuujua. WIMBO UNAITWA MOYIBI UMEIMBWA NA PEPE KALE.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa mpenzi wa bia aina ya safari kwa muda mrefu sasa lakini ukiangalia kuna utofauti wa chupa zake moja pale kwenye kifuniko ina shingo nene yaani rungu na nyingine shingo nyembamba .sasa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
ukiaangalia vizuri hii movie ina makosa kibao,, moja ya kosa ambalo kwangu lilinikera sana ni huyu mama,,grace mapunda (kama mnavyomuona hapo pichani) akimwambia huyu dada(nisha au salma jabu...
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Karibu katika group mpya ,,jiunge kwa kufuata link hii Follow this link to join my WhatsApp group: Chelsea Tz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kuna wimbo mmoja uliwahi kufanyiwa movie moja bongo hapa.ambapo msanii alikuwa mpiga debe stend alaf anakuja kuchukuliwa na jamaa baada ya kuonekana ana kipaji cha kuchana mistar.kwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Aisee msaada tutani nilikua natumia app ya bmovie kudowload movies free ila now haifanyi kazi please kwayeyote anafahamu application yenye similar features kama hiyo msaada Tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu napenda kuuliza kama kuna nyimbo yenye cover/remix nyingi za wasanii tofaut wadogo na wakubwa kama mask off....taja unayoijua nyingne
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za jioni wanajamvi, Kweli Mimi binafsi ninavutiwa sana na series hii ya bwana Lyon lakini sijapata nafasi ya kuingalia yote Ila vipande vidogo vidogo, lakini kiujumla ni movie inayofundisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
sor wadau nime shindwa kuweka Audio moja kwa moja pliz tumia link hii kuupata ni simple tuu...... Audio | Poz Bee - Rudi Home | Mp3 Download - Mtiwadawa Sina jeuri ya kukausha eti nisi waombe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom