FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Hizi movies huwa ni nzuri sana hasa zile zinazoelezea historia za nchi mbalimbali za Africa kama vile jinsi zilivyo struggle kupata uhuru au kuonyesha jinsi mataifa hayo yalivyokuwa governed.
Mfano;
1. Hotel Rwanda
2. The Last King Of Scotland
3. Sarafina
Tujuzane na nyingine ambazo pia ni nzuri!
Mfano;
1. Hotel Rwanda
2. The Last King Of Scotland
3. Sarafina
Tujuzane na nyingine ambazo pia ni nzuri!