MWAKYEMBE UNAONAJE TUANZE KUNUNUA Wakimbiza upepo kutoka Kenya na Ethiopia kama MO FARA kwa Uk

dutch2

JF-Expert Member
Sep 20, 2017
1,009
972
najiuliza tatizo ni hatuna wakimbiaji wazuri au tatizo ni nini jamani it's real boaring kila marathoni kubwa unayoisikia duniani ni wakenya, Ethiopia. Eritrea
mwakyembe angalia na upande huu wa wakimbiza upepo soccer wana sponsers wengi na wakubwa serikali kwanini isiwekeze uku? ikibidi tuwanunue wakenya tuwape makinikia wapeperushe bendera yetu wafukuza upepo wapo wengi hawapati nafasi na ni wazuri
waethiopia wapo wengi ni wazuri hawapati nafasi kila siku mnawakamata kama waamiaji haramu
 
Back
Top Bottom