Wanabodi, nina mpango wa kuanza kutunga mashairi ya bongo fleva na hivyo kuwa msanii wa Muziki huu, Lengo ni kuja na 'mashairi ' yatakayo wapagawisha watu wa makundi yote..
Ushauri wenu juu ya...
Baada ya kuangalia inakoelekea nchi yetu,
Baada ya yaliyomtokea Tundu Lissu,the great,
Mimi kama kijana wa Chadema naomba nikutafsirie wimbo huu wa Luke dube. Ni mzuri mheshimiwa, utaupenda, hata...
Hii tabia ya wasanii bongo kutunga mashairi tata siielewi kabisa kuna wakati inakuwa ngumu kusikiliza au kutazama na familia.
Kwa mliosikiliza huu wimbo wa Madada Sita unaitwa Usingoje ni...
Tamthilia maarufu ya Marekani Quantico imetumia lugha ya kiswahili katika episode yake ya kwanza season(msimu) ya pili.Tamthilia inayoigizwa na Muigizaji maarufu wa India Priyanka Chopra imetumia...
Kwanza nampongeza aliyefikiria wazo ili la kukutanisha wasanii wote kuzunguka mikoani na kutoa burudani.
Ni uzalendo.Hawa wanao jitenga aidha ktk kujiona kuwa wao ni masitaa au wanataka dau...
Hakika ni bonge la wimbo toka kwa marehemu pepe kale naomba anaejua kuutafsir maana yake napenda sana kuujua.
WIMBO UNAITWA MOYIBI UMEIMBWA NA PEPE KALE.
Nimekuwa mpenzi wa bia aina ya safari kwa muda mrefu sasa lakini ukiangalia kuna utofauti wa chupa zake moja pale kwenye kifuniko ina shingo nene yaani rungu na nyingine shingo nyembamba .sasa...
ukiaangalia vizuri hii movie ina makosa kibao,, moja ya kosa ambalo kwangu lilinikera sana ni huyu mama,,grace mapunda (kama mnavyomuona hapo pichani) akimwambia huyu dada(nisha au salma jabu...
Hivi kuna wimbo mmoja uliwahi kufanyiwa movie moja bongo hapa.ambapo msanii alikuwa mpiga debe stend alaf anakuja kuchukuliwa na jamaa baada ya kuonekana ana kipaji cha kuchana mistar.kwenye...
Aisee msaada tutani nilikua natumia app ya bmovie kudowload movies free ila now haifanyi kazi please kwayeyote anafahamu application yenye similar features kama hiyo msaada Tafadhali.
Habari za jioni wanajamvi,
Kweli Mimi binafsi ninavutiwa sana na series hii ya bwana Lyon lakini sijapata nafasi ya kuingalia yote Ila vipande vidogo vidogo, lakini kiujumla ni movie inayofundisha...
sor wadau nime shindwa kuweka Audio moja kwa moja pliz tumia
link hii kuupata ni simple tuu......
Audio | Poz Bee - Rudi Home | Mp3 Download - Mtiwadawa
Sina jeuri ya kukausha eti nisi waombe...
Wakuu!
Sijawahi kuandika chochote kuhusu huyu Dogo Aslay ila kwa huu wimbo wa natamba imebidi nimsifie kwa kazi nzuri, amekuwa akitoa nyimbo nzuri sana ingawa ni kwa mfululizo lakini namuelewa...
Uzi huu unalenga kukumbushana au kupeana update za western movies kama vile
Magnificent seven
Today it's me tomorrow it's you
Hateful eight
Django unchained
12 years a slave
Unforgiven
The...
Wakuu hali zenu.... nimejaribu kutafuta lyrics za huu wimbo nimekosa. Nimeamua kusikiliza na kuandika mwenyewe.... je hivi ni sahihi?
1 Naomba unisaidie kushare, naomba unisaidie kushare x 2
2...
Nawonder nawonder kila rhyme kila stanza/
Napanga na kuranda kwenye home za kupanga/
Kupanga kupanda kila mbegu juu ya mwamba/
Na mbegu zinagonga mwamba kila nyanda/
Najitahidi kung'ara bila...
tumefikia mahali kuna mashindano ya uzuri katika kila kitongoji za miji mikuu Tanzania? wakati Watanzania tunashindana kwa uzuri, wenzetu wana masindano ya ufundi/sayansi, lugha/insha/mashairi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.