Septemba11
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 620
- 536
Habari wana Jf, na Heri ya mwaka mpya 2014.
Binafsi ni mpenzi sana wa muziki haswa nkiwa chumbani kwangu, ila kwa muda sasa nmezitafuta hizi nyimbo Nimekusamehe by Hamza Kalala na wa Madilu system ambao kuna sehemu anamtaja Fred waaaah bila mafanikio, so plz naomben msaada wa kuzipata hata kwa whatsapp!
Ahsanteni sna na kila la kheri ktk mwaka mpya 2014!