GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
sisi ambao tumekuwepo miaka ya nyuma mika ile muzik wa zaile umetapakaa nchi na kwa ujumla bara zima la africa nadhan mnakumbuka kulivyokuwa na mpambano wa kukata na shoka kat ya kanda bongoman na bozi boziana.
bongomani alikuwa ndiye mfalme wa kwasakwasa nakumbuka alivyofanya balaa kenya mpaka arap moi kufikia hatu kumpiga marufuku na kumpa masaaa 24 aondoke. ilikuwa ni pata shika nguo kuchanika katika uwanja wa nyayo. watu walikufa kwa kukanyagana. ilikuwa ikipiga Isambe watu wanaungua makalio. hawakai kabia kwenye viti. wanainuka kwanza wasubiri viti vipoe basi ukiisha wimbo kabla hawajarudi kukaa inapigwa inde monie..hapo tena wanasimama..
ilikuwa ni mateso sana kwenye kumbi,majumbani,sehemu mbali mbali za starehe. huyu ndo alikuwa kanda bongo man mfalme wa kwasakwasa.
alikuwepo pia mtu mzima bozi boziana huyu yeye alikuwa na nzawisa miaka ile tunaimba "mayai ya kuku ya bata twayala,ukitaka kufaidi nunua na soda.... mtoto aki... mnawishe... ilikuwa ni issue hapa mjini.
ukienda radio one mchana unasikia nani zaidi akipambanishwa kanda na bozi na mara nyingi kanda alikuwa akiibuka mshindi. ila bozi boziana alibaki kuwa na heshima. nilisikitika tu kwenye mwaliko mmoja alikuja dar akapiga badaye akachoka sana mpaka kwenda kupiga ukumbi flan tabata unaitwa MADISON SQUARE IN ile barabara ya camp...
tumetoka mbali sana vijana tuheshimiane. nyie endelee kuwa na team zenu. sisi muziki tumecheza na kusikiliza miaka ile. wapigaji magita wakiwepo akina nene tachakou,diblo dibala, dally kimoko, salahdeen, djuna mumbafu, ngouma lokito....n.k