Vijana wa leo

Vijana wa leo

William Bite

New Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Kwa hali ya maisha ya sasa na mitindo ya maisha ya kilasiku, kwakweli ni vigumu kupata vijana wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na weledi na vipaji vya kipekee kama akina leornado da vinci,einstein, sababu mojawapo ni vyakula vya siku hizi.Je wewe mdau una maoni gani?
 
Nahisi kuna vitu vingi vinavyotuzunguka ambavyo vinawaondolea uwezo wa kumakinika na jambo moja,na hivyo wanakosa kuonyesha hasa kilichoko ndani yao.Sidhani eti ni vyakula.
 
Back
Top Bottom