Msaada Luna riwaya nilisoma hapa

Msaada Luna riwaya nilisoma hapa

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
834
Wakuu kunariwaya nilisoma hapa siikumbuki,,inahusu kijana mtoto Wa tajiri alimpenda Msichana wao Wa ndani wazazi walivyogundua wakamfukuza yule binti na kijana akaoa mwanamke mwingine,,baadae wazazi Wa yule kijana wakapata Amalia wakafa,,plz nimesahau jina LA hiyo riwaya
 
Back
Top Bottom