Kuna anaouelewa huu Wimbo vizuri?

Kuna anaouelewa huu Wimbo vizuri?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,449
Reaction score
127,624
Ni wimbo ambao kiukweli kwa sasa ndiyo una hit sana airwaves za Radio Stations nyingi za Tanzania ambapo siujui wote ila Kibwagizo chake tu ndiyo nimekikariri ambacho kinasema ' nampa Papa.....Papa.....Papa....nampa Papa '. Hapa Mtunzi anamaanisha nini labda? Nitashukuru nikielimishwa.

Nawasilisha.
 
Gigi bwana mie sauti yake tuu eti nampa papa
 
Kuna mtu alinitumia kwenye simu yangu.sasa na Mr katika pitapita zake akaonaakajidai anafungua akakutana na. Nampa papa nikaona karudisha simu
 
Back
Top Bottom