donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Hellow wakuu,
Habari za wakati kama huu. Mimi ni mdau mkubwa sana wa zilipendwa za kwa wenzetu huko, ukiniambia watu kama Cool n' the Gang, natking cole, elvis Presley, marvin Gaye, etc. Unakua unakosha roho yangu. Hebu nitajoe mkuu zile unazozifahamu zilizobamba kipindi hiko niweze pakua hapa kwenye simu yangu...