Mwimbaji wa Chorus,Bridges.Higher note.

G

gambalakobe

Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
53
Likes
40
Points
25
Age
26
G

gambalakobe

Member
Joined Jul 1, 2015
53 40 25
Wasalaam wakuu, Mimi naitwa (EmaNazo)nikiname(Kimberlite) kwa sasa najishungulisha na uimbaji hasa kwa sauti za Alto,na mezzo-soprano na soprano.

Hivyo kwa msanii yeyote anyehitaji msaada hasa kwenye upande wa kuipendezesha chorus ya wimbo hili wimbo uwe na mvuto nipo kwa ajili ya kazi hiyo.

Kwani kwa kawaida chorus inahitaji high energy/power zaidi ya verse hili wimbo uvutie mfano wa wimbo wa man in the mirror by lili Wayne feat Bruno mars.hilikuwa nilazima hili wimbo upendeze lazima Wayne amtafute math mwenye uwezo wa kuipa energy chorus,nakiukweli wimbo ule unavutia kupia chorus. Ni kwa style zote za muziki.Gospel,Bongo flava.Pop,Rnb Nk.

Nipo Dar Es Salaam,Temeke Taifa. Kwa mawasiliano 0725907454.
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
Kuna jamaa anaitwa chopa anajua sana
 
mkojo wa bhange

mkojo wa bhange

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Messages
580
Likes
626
Points
180
mkojo wa bhange

mkojo wa bhange

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2017
580 626 180
Sawaaa....lakini ulichokisema unakifanya nasikitika wasanii wetu wamejifunzia mitaani na hizo sauti hawazijui wala hawajawahi kuzisikia....wao wanaamini sauti hiO huimbwa na wazungu tuu na kibongobongo huimbwa kwenye kwaya za makanisa ya kale.
 
G

gambalakobe

Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
53
Likes
40
Points
25
Age
26
G

gambalakobe

Member
Joined Jul 1, 2015
53 40 25
Sawaaa....lakini ulichokisema unakifanya nasikitika wasanii wetu wamejifunzia mitaani na hizo sauti hawazijui wala hawajawahi kuzisikia....wao wanaamini sauti hiO huimbwa na wazungu tuu na kibongobongo huimbwa kwenye kwaya za makanisa ya kale.
Upo sahihi kabisa mkuu, Mimi kidogo nimebahatika kusomea vocal chord building kwahiyo nilichokisema nakielewa vema.
 
storyteller

storyteller

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Messages
884
Likes
765
Points
180
storyteller

storyteller

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2014
884 765 180
Wasalaam wakuu, Mimi naitwa (EmaNazo)nikiname(Kimberlite) kwa sasa najishungulisha na uimbaji hasa kwa sauti za Alto,na mezzo-soprano na soprano.

Hivyo kwa msanii yeyote anyehitaji msaada hasa kwenye upande wa kuipendezesha chorus ya wimbo hili wimbo uwe na mvuto nipo kwa ajili ya kazi hiyo.

Kwani kwa kawaida chorus inahitaji high energy/power zaidi ya verse hili wimbo uvutie mfano wa wimbo wa man in the mirror by lili Wayne feat Bruno mars.hilikuwa nilazima hili wimbo upendeze lazima Wayne amtafute math mwenye uwezo wa kuipa energy chorus,nakiukweli wimbo ule unavutia kupia chorus. Ni kwa style zote za muziki.Gospel,Bongo flava.Pop,Rnb Nk.

Nipo Dar Es Salaam,Temeke Taifa. Kwa mawasiliano 0725907454.
Sampo za nyimbo zako tusikie na kujiridhisha.
 
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
5,090
Likes
3,230
Points
280
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
5,090 3,230 280
Umesharekodi nyimbo ngapi mpaka sasa.
 
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
3,324
Likes
4,136
Points
280
James Comey

James Comey

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
3,324 4,136 280
Kuna mtu amekushauri kuhusu hiyo nick name kubali tuu itakutesa bila ulazima wwte pia unaweza kumprove wrong.
Ungeweka sample ya hiyo hiyo chorus ya mirrow humu watu wakakujua kupitia hiyo.
Nakumbuka lil Ma aliweka nyimbo yake YouTube tu na dunia nzima ikamjua. Weka kazi yako ikusapoti unachokifanya, ciao
 
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
5,090
Likes
3,230
Points
280
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
5,090 3,230 280
Kuna mtu amekushauri kuhusu hiyo nick name kubali tuu itakutesa bila ulazima wwte pia unaweza kumprove wrong.
Ungeweka sample ya hiyo hiyo chorus ya mirrow humu watu wakakujua kupitia hiyo.
Nakumbuka lil Ma aliweka nyimbo yake YouTube tu na dunia nzima ikamjua. Weka kazi yako ikusapoti unachokifanya, ciao
Kwani chorus ya mirror ameimba yeye mkuu.
 
Forum statistics

Threads 1,235,650
Members 474,678
Posts 29,229,600