Kwa wale wapenzi wa muziki tubadilishane nyimbo hapa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
Uzi huu ni malumu kwa ajili ya kubadilishana nyimbo mbali mbali zilizowahi ku-hit enzi hizo.

Kama una wimbo wa kikongomani, wimbo wa dansi ya kitanzania, bongofleva ya enzi hizo au wowote usisite kushare hapa.

Kama una link ya kushusha nyimbo za zamani pia usisite ku-share nasi.
Au kama una wimbo unautafuta, utaje hapa members watatusaidia ku-upload.

Links za baadhi ya nyimbo za zamani.

Sikiliza Zilizopendwa | Muziki Wa Zamani

Nyimbo Za Kale Za Mlimani » Free MP3 Songs Download - eMP3z.ws

African Hits — African Music Search Engine
 
Chukua huu;
Mahlathini And Mahotella Queens- Kazet
-we unanipa nyimbo gani, mkono kwa mkoo
 
Uzi huu ni malumu kwa ajili ya kubadilishana nyimbo mbali mbali zilizowahi ku-hit enzi hizo.

Kama una wimbo wa kikongomani, wimbo wa dansi ya kitanzania, bongofleva ya enzi hizo au wowote usisite kushare hapa.

Kama una link ya kushusha nyimbo za zamani pia usisite ku-share nasi.
Au kama una wimbo unautafuta, utaje hapa members watatusaidia ku-upload.

Links za baadhi ya nyimbo za zamani.

Sikiliza Zilizopendwa | Muziki Wa Zamani

Nyimbo Za Kale Za Mlimani » Free MP3 Songs Download - eMP3z.ws

African Hits — African Music Search Engine
Mkuu niwekee hizo songs kwenye WhatsApp yangu 0765455013
 
Mwenye wimbo wa OSS "Masantula" chini ya King Kiki; Haruna na wa Tabu Ley siufahamu jina ila wanatajwa wanamuziki na vyombo wanavyopiga
 
Kuna song moja ya fally ipupa kusema ukweli sielewi kifaransa ila jamaa anavyoimba ile song mi huburudika sana nkisikiliza,DELIBERATION-FALLY IPUPA
 
Uzi huu ni malumu kwa ajili ya kubadilishana nyimbo mbali mbali zilizowahi ku-hit enzi hizo.

Kama una wimbo wa kikongomani, wimbo wa dansi ya kitanzania, bongofleva ya enzi hizo au wowote usisite kushare hapa.

Kama una link ya kushusha nyimbo za zamani pia usisite ku-share nasi.
Au kama una wimbo unautafuta, utaje hapa members watatusaidia ku-upload.

Links za baadhi ya nyimbo za zamani.

Sikiliza Zilizopendwa | Muziki Wa Zamani

Nyimbo Za Kale Za Mlimani » Free MP3 Songs Download - eMP3z.ws

African Hits — African Music Search Engine
kazi nzuri, but hazifunguki
 
Kuna nyimbo kiukweli siijui jina ila baadhi ya mashairi nayajua iliimbwa kiswahili. Kama sikosei inaitwa KOSA.
Kosa wangu baba, unihurumie,
Wema kwangu lewo, utaniumiza,
Sitaki tena kosa, kama ni kuowa...

Whatsapp 0713088747 nautaka
 
Mwenye nyimbo ya dogo ditto na chid benz pliiiiz aiweke apa inaitwa ' nitarudi''..
Koras inasema ' si nlikwambia ntarudi sio kwamba nafanya makusudi'''

Pia wimbo wa wyre unaitwa ' nafasi'.. Nautafta mda mrefu siupati...

Pia wimbo wa banana na saida karoli achana na ule 'mpenzi nakypenda'
Kuna mwingine wanalalamikiana mtamu mnoooo nautafuta nao tafadhali
 
Kuna nyimbo kiukweli siijui jina ila baadhi ya mashairi nayajua iliimbwa kiswahili. Kama sikosei inaitwa KOSA.
Kosa wangu baba, unihurumie,
Wema kwangu lewo, utaniumiza,
Sitaki tena kosa, kama ni kuowa...

Whatsapp 0713088747 nautaka
Suke chile wa Generali Defao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom