Artist = NASH MC
song = ZIMA
lyrics writer = snipa
Hiyo mistari inayoitwa taarifa ya Habari oya ZIMA !
Ile ya ku unga unga mibovu ya kizushi sijui nini ''Gorge anarudi Bush ZIMA !''...
Salute
Naomba nisaidie nipate soundtrack ya muvi hizi hapa chin..
Beyonce: President daughter 1-4. Naomba mnipatie Soundtrack zote zilizomo humu na nyimbo zinazoimbwa hasa ile inayoanza kuimba...
HADITHI FUPI:
Meriana ni msichana mrembo na mwenye mafanikio makubwa Kwa nje.. kuna siku alitamani kula mayai akaamua kwenda Mtaani kwao nyuma kidogo...Malongwe Kwa mzee Kanyimbi amabae ni...
Njoo uongeze Subscriber, Views hapa.
Sheria za uzi huu
- Subscribe Channel yangu kwa kubofya [emoji117] link hii JvS - Copy & Paste na mimi nita Subscribe kwenye Channel yako.
- Weka Link ya...
“I want him dead,” (ninataka afe mara moja)
“Okey! Sir! Do you want us to kill his family too?” (Sawa! Mkuu! Unataka tuimalize na familia yake pia?)
“Yes! Just kill them all,” (ndiyo! Waue wote)...
Miaka ya nyuma kuna movie nilizoea kuiona nikiwa mtoto, ni movies ya Nigeria, mapacha wawili na mama yao kichaa. Kuna jamaa atakuwa kichaa na kupiga kelele za hugo shabubi shabubi ooo shabubi...
anaanzia hapa Alikaa gerezani miaka 20 akisubiri kunyongwa kwa mauaji ambayo hakuhusika.
Akiwa gerezani kwa muda huo wote Skinner alikuwa akiendelea kushikiria msimamo wake kuwa siyo yeye...
Mwaka 2010 Skinner alikuwa amekaa gerezan kwa miaka 15, akiwa amejaribu kukata rufaa mara kadhaa na kukataliwa. Tarehe 24, mwezi wa 2 mwaka 2010, Skinner alihamishiwa kwenye kitengo cha unyongaji...
Habari wana jf!
Najua baadhi walibahatika kumchangia msanii na wengine kama kawaida yao walizipata youtube bure kanisa bila kujali copyright za msanii kuua kazi zake.
Turudi kwenye mada, nyimbo...
Story : ZAFEERA
Mwandishi : Gerald Mtenga
Mawasiliano : 0625600802
Barua pepe : gmtenga@gmail.com
UTANGULIZI :
Bila shaka hakuna binadamu anayependa kuishi maisha ya kimasikini na ya...
SIMULIZI
Mtunzi:Issa,M.M
Jina la simulizi:SAFARI YA KIJIJIN
......Ilikua ni saa 12:30 za asubuhi wakat nimejilaza kitandani Mguu mmoja nimeubwaga kule na mwengine kule utazani nimekufa maji...
"kaka mbona unanikanyaga jamani, inamaana huoni kweli au makusudi tu jamani"
Ilikua ni sauti ya msichana akilalamika ndani ya daladala.
"we dada vipi, kwani ulitakaje sasa, kazi kujilalamisha...
Inaanzi hapa Alikaa gerezani miaka 20 akisubiri kunyongwa kwa mauaji ambayo hakuhusika.
i
Emily akiwa na wanafunzi wake anapewa picha zilizopigwa eneno la tukio wakati wa kukusanya ushahidi...
Hii ni kwa wadau wa tasnia ya filamu
Usiku wa kuamkia leo wezi wamepachua kitasa cha mlango mkubwa wa kuingilia nyumbani kwangu na kufanikiwa kuingia ndani.
Wameiba vitu vingi vyenye thamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.