snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,164
Artist = NASH MC
song = ZIMA
lyrics writer = snipa
song = ZIMA
lyrics writer = snipa
Hiyo mistari inayoitwa taarifa ya Habari oya ZIMA !
Ile ya ku unga unga mibovu ya kizushi sijui nini ''Gorge anarudi Bush ZIMA !''
Wachanaji wasio na vina hizo ngoma zote ZIMA
DJ unataka hela, aisee sina kwenye kipindi chako wimbo wangu zima,
Hata Redio yenu kucheza kazi zangu wala sio lazima
Oya nanii P the MC washa TV bunge la katiba huwa siangalii ZIMA !
Weka ata Mieleka Ya John Cena
Good Music sitaki ZIMA Kwaito ZIMA, Kiduku ZIMA !
Nyimbo za Mapenzi zenye mambo ya Kishenzi siziwezi ZIMA (eeeh)
FNL na XXL ZIMA !
POWER J powered by day ZIMA !
''mpigie kura msanii unaemtaka kwenye tuzo za kili''
Tangazo kama Hili hakuna cha kusubiri ZIMA !
''Baba unasemaje ?'' ZIMA !
Antvirus yangu mi ndo inaua wadudu ya Mheshimiwa yule mwenye Vurugu Tayari imeisha Tubu Harakati bubu ZIMA !
Hotuba ya Mkwele aliyoweka msimamo wa chama chake Mbele ZIMA !
Azam ndo mabingwa habari za Yanga mara Sijui Simba ZIMA !
Watangazaji wanaigana ''ama nini !dizaini kama !'' ushoga mtupu Vipindi vya mchana sisikilizi ZIMA
''kuchapiwa siri ya ndani'' hayo maneno alisema nani ? Oya Richard analeta Utani ! ZIMA !
Wakichana kiswahili wanaskika kama kichina kingereza ndo wanaweza nikasema aisee ZIMA X2 !
+++++++END+++++++
chambuzi fupi !
Aliposema
''mistari ya ku unga unga sijui nini Gorge anarudi bush''
kamaanisha Stamina ! Aniesma maneno hayo kwenye wimbo Agano Jipya
''Antivirus yangu ndo inaua wadudu ya mheshimiwa yule mwenye vurugu tayari imeisha tubu ''
Hapa anamaanisha Mh SUGU ! wakati akiwa na beef na Ruge kwa wanaokumbuka walitoa jina hili wakiwa pamoja na Vinega
''Hotuba ya MKWELE aliyoweka msimamo wa chama chake mbele''
Nadhani inaeleweka !
Lyrics nimeandika snipa !
Marekebisho allowed !

Last edited by a moderator: