Kwa mnaokumbuka; Inaitwaje hii movie?

Kwa mnaokumbuka; Inaitwaje hii movie?

mumewanguu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
261
Reaction score
259
Miaka ya nyuma kuna movie nilizoea kuiona nikiwa mtoto, ni movies ya Nigeria, mapacha wawili na mama yao kichaa. Kuna jamaa atakuwa kichaa na kupiga kelele za hugo shabubi shabubi ooo shabubi!

Naomba jina la hii pcha ni download.
 
SWEET MOTHER ...ila ya zamani kimtindo sjui kama utaipata katika ubora unaohitajika...niliiamgalia enzi hizo tunatumia VHS
 
Miaka ya nyuma kuna movie nilizoea kuiona nikiwa mtoto, ni movies ya Nigeria, mapacha wawili na mama yao kichaa. Kuna jamaa atakuwa kichaa na kupiga kelele za hugo shabubi shabubi ooo shabubi!

Naomba jina la hii pcha ni download.
Yale mambo na baba yako bado manaendelea au upo na Ngwala sasa...pasaka hii baba yako atakuwa amerudia kukutoa mikosi...mfyuuuuuu
 
Miaka ya nyuma kuna movie nilizoea kuiona nikiwa mtoto, ni movies ya Nigeria, mapacha wawili na mama yao kichaa. Kuna jamaa atakuwa kichaa na kupiga kelele za hugo shabubi shabubi ooo shabubi!

Naomba jina la hii pcha ni download.[/QUOTE
Miaka ya nyuma kuna movie nilizoea kuiona nikiwa mtoto, ni movies ya Nigeria, mapacha wawili na mama yao kichaa. Kuna jamaa atakuwa kichaa na kupiga kelele za hugo shabubi shabubi ooo shabubi!

Naomba jina la hii pcha ni download.
Inaitwa Conspiracy, ipo part one and two, mama alikua kichaa baada ya kuwekewa uchawi na mtganga wa kienyeji kwa kuonewa tu ingawa yule mganga na wote waliokula njama walikuja kupata mabalaa, na watoto wake wawili John na James, huyo kichaa aliyekua anapiga kelele ndie alikuja kumtibu mama yao, na alikua anaimba 'shave me ooooh, shave me' na sio 'shabibuoo'. Kwamba anyolewe nywele, na kweli aliponyolewa alipona kabisa na akawa na nguvu za kiganga kama alizokua nazo mwanzo. Kwangu mimi hiyo ilikua ni the best Nigerian film
 
Hiyo movie ya Kinaijeria inaitwa Conspiracy, ipo Part 1&2. Ni mama mmoja alisingiziwa jamabo na mtu flan ikabidi apelekwe kwa mganga kula kiapo. Mganga alikula njama na yule aliyemsingizia mama wa watu(Grace) na mara tu alipokunywa dawa ya mganga Grace akawa chizi. Wakati huo alikua an watoto wake mapacha John na James.

Wale wote walio conspire kumfanyia ubaya baadae walikufa mysteriously. Mtoto wa yule mganga aliyemfanyia ubaya yule mama ndio alikuja kumtibu. Yule mtoto wa mganga mara ya kwanza naye aliwehuka akawa anaimba 'shave me oooh, shave me,'(na sio shabibooo, shabibu) akitaka anyolewe nywele na ndio ilikua tiba yake, baada ya kunyolewa na yeye akawa na nguvu za kumtibu Grace

That's is my best Nigerian movie ever
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kha jamani shave me ooo ndo shabubi kweli nyimbo za watoto zinafanana nakumbuka kuna wimbo ulikuwa una imba "nawe nami bara mpaka pwani Mimi na sema nawe nami paranga pamoto pambamoto shambulia" umenifanya nirecall those days
 
Hahaha,
 
Back
Top Bottom