Uswiss
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 841
- 2,169
HADITHI FUPI:
Meriana ni msichana mrembo na mwenye mafanikio makubwa Kwa nje.. kuna siku alitamani kula mayai akaamua kwenda Mtaani kwao nyuma kidogo...Malongwe Kwa mzee Kanyimbi amabae ni masikini Kwa nje biashara yake kubwa ni kuuza mayai, Meriana akamuuliza mzee yai Moja unauza kiasi gani? Mzee kanyimbi akasema shs 600 Meriana akasema nataka kumi Ila Kwa shs 200 kila moja...
Mzee kanyimbi akamwambia Meriana sitapata faida hata kidogo Fanya Fanya hata shs 500 Meriana akatishia kuondoka Mzee kanyimbi akamwita na kumuomba... kwakua wewe mteja wangu wa kwanza chukua tu..
Meriana akatoa shs Elfu kumi mzee kanyimbi akaenda kutafuta chenji akamrudishia shs Elfu nane...Meriana akaondoka. Jioni Meriana akaenda Dinner Serena Hotel na rafiki yake jina limenitoka kidogo, baada ya Chakula Bill ikaja Laki moja na Arobaini mbili...
Meriana akatoa shs laki moja na nusu akamwambia Yule muhudumu shs Elfu nane iliyobaki Chukua...
Na HADITHI IMEISHA.