Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Heshima kwenu wadau wa JF. Ninachelea kusema kuwa ninafurahi sana kuona vijana wenzangu wa kitanzania hasa waandishi wa vitabu vya fasihi kwa lugha ya kiswahili. Mnamo 15/4/2018 watanzania...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Msaada jamani nimeitafuta sana bila mafanikio, Mara ya kwanza kuisikia na kuipenda ilikuwa ktk movie ya Anold Schwarzenegger Predator.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Series mpya ya kiswahili! ina hadithia mahusiano ya binti Hariri na mchumba wake Aaron. Familia yake Aaron hawamtaki Hariri na wamempangia msichana mwingine wa kuoa! checki hapa kupata episode...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HABARI ZA JIONI FILAMU MPYA YA KIBONGO! TAZAMA UONE MKE WA HATARI SANA! :
0 Reactions
40 Replies
22K Views
HABARI ZA LEO ANGALIA FILAMU MPYA YA MZEE MAJUTO. VICHEKESHO!
0 Reactions
8 Replies
4K Views
INASIKITISHA LAKINI NI FUNZO PIA Umemuomba akutumie picha ya utupu. Akakuambia siwezi nauheshimu mwili wangu siwezi kufanya hicho kitu. Ukambembeleza na kumsihi kwa maneno matamu yenye ulaghai...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
UBETI WA KWANZA Switch s2kizzy baby Habari oo habari habari habari habari oo habari oo Habari habari habari habari ooo Mpenzi ni kama una demu mmoja Wapenzi ni kama una demu wawili Kucheat...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi. leo nimewaletea tv series kali za muda wote na ratings zake. 1. Planet earth II ( 2016) : ratings 9.5 2. Band of brothers (2001) : ratings 9.5 3. Planet earth (2006) ...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Nayaandika haya kwa uchunguzi sana kwa jinsi hawa waandaaji wa show ya Werrason Noel Ngiama Makanda aliyekuja Dar wiki mbili zilizopita. Kwanza walisema show itachelewa kwa sababu Werrason...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu kwa wale wapenzi wa hizi mambo kutoka king'amuzi pendwa cha DSTV...week hii ni week ya mwisho yaani Final na walioingia final ni 1.Tobi 2.Miracle 3.Cecee 4.Alex 5.Nina Je unampigia nani...
1 Reactions
4 Replies
774 Views
Mtanisamehe lakini najua wengi wenu humu JF mlikuwa Joni visomi na najua pia kuwa ambao hawakusoma mlikuwa mabaharia,na of course wengi wenu mnatokea mikoani na Dar mekuja miaka 1- iliyopita...
0 Reactions
186 Replies
49K Views
Heri ya mwaka mpya wajameni. Naomba kuuliza, nani waanzilishi wa Bongo HipHop/Flava? Mimi nakumbuka mara ya kwanza nasikia tapes za Saleh Jabri akirap juu ya beats za kama Vanilla Ice etc...
2 Reactions
42 Replies
14K Views
(8) MESHAMAZING Nitulize official Video4K - YouTube Hii ni video ya mshindi wa super nyota 2017 Mbeya anayeitwa Meshamazing inayokwenda kwa jina la NITULIZE kama ilivyoongozwa na muongozaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baba mzazi wa mwanamuziki Jay Moe Famous, Mzee Mchopanga amefariki dunia mchana huu. Mzee Mohammed Hamis Mchopanga 1948-2018 Innah Lillah wa innah ilayh rajiun
2 Reactions
84 Replies
11K Views
Habari wana JF leo nimeona nitoe ya moyoni mwangu kuhusu Bongo Movie. Kumekua na matusi mengi na malalamiko mengi sana kuwa Bongo Movie hamna kitu na watu hawapendi kutazama Bongo movie. Mm...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
1. Ousofia in London 2. Borat 3. Don't mess with Zohan 4. The Dictator 6. Problem Child 7. Friday ( Ice Cube and Chris Turker) 8. Joshua Tree 9. Nutty Professor all 10. Mo money
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Bwana mdogo wangu Aslay, ni wazi kuwa unajitahidi sana kufanya kazi nzuri kimuziki na unashika nafasi mbalimbali za music chat hapa nchini. Tungo zako na Matumizi ya sauti yako yanaonyesha ni...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Niadje ndugu unaesoma Uzi huu kwa wakati huu?.. Wakorea wanasifika sana kwa utunzi mzuri wa story ktk season zao. Je ni season gani kali uliyowahi kuitazama ukaipenda? Tutajie jina la season...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom