luswaguty
Member
- Oct 13, 2017
- 86
- 29
SIMULIZI
Mtunzi:Issa,M.M
Jina la simulizi:SAFARI YA KIJIJIN
......Ilikua ni saa 12:30 za asubuhi wakat nimejilaza kitandani Mguu mmoja nimeubwaga kule na mwengine kule utazani nimekufa maji nilijigeuza huku na kule ghafla nilijishika mkono wa kushoto nikagundua kua jana nilipolala nilisahau kuvua saa yangu ya mkononi niliitupia macho nikagundua tayar bado robo saa kutimilia sa moja kamili "dah! Kumbe bado robo saa" nilijisemea huku nikijienua kwa uvivu lakin kabla ya kusimama wima nilishtushwa na mlio wa sim yangu ilikua inaita "dah!!! Nani tena asubuhi yote hii ata mapambazuko bado...watu wengine bwana wanasumbua"nilijisemea kimoyo moyo huku nikiifata sim kiuvivu utazan nimelazimishwa
.....niliitupia macho ile sim nikagundua aliepiga ni mpenzi wangu Uwoya ambae tunasoma chuo kimoja cha Mwalim nyerere lakin yeye alikua ni mwaka wa pili na mimi mwaka wa kwanza"Dah!! kumbe ni Uwoya" nilijisemea na kuipokea
"Ooh baby Abdul nahitaji uje hom kijijin tuonane" Uwoya alisema kwa sauti nyororo ambayo ilinipa hisia za kimwili nikajikuta najibwaga tena kitandani kwa jinsi sauti ilivyokua na mionzi mikali
"Dah!!! Mpenzi wangu unanipa kazi sasa mimi nitakujua vipi kwenu sijaja ata siku moja afu kijijini mbali...aa aa njoo wewe jamani mjini"nilisema kwa unyonge na kwa sauti ya kimahaba kumbembelea mtoto uwoya lakin mh!!! Aligoma kinielewa
"Abdul mimi nitachukua mda kuja mjini sina plane ya kuja mjini siku hizi please nakuomba uje...mimi siku ngapi nakuja mjini kukufata wewe leo nataka uje wewe hom lakin unasema hukujui au huataki kuja" Uwoya alisema kwa huzuni fulani na kunifanya nikubali kwenda japo kua sikujui vema na kikubwa zaid mtoto Uwoya alishapoteza vyake vingi sana kwa ajili yangu
" Sawa uwoya usjali nitakuja" nikasema kwa unyonge
"Sawa wakati ukipanda gari mwambie konda akushushe sehemu inaitwa stone pub lakin kabla ya kufika nipigie simu ili nikusubiri sawa Abdul" Alisema Uwoya nami nikajikuta nakubali
"Sawa ntafanya hivyo" akakata simu
....kijana nikafanya usafi chap chap manukato fresh nikapiga pamba za ukweli japo kua nipoenda ni kijijini nilitaka Uwoya ajue kua mimi ni kijana wa mjini na zaid nikutaka kumfanya mtoto Uwoya azidi kunifurahia so kijana kikavaa kiukweli nikavaa kitown nikatoka ruti kuelekea njia kuu lakin Dah!!! Kwa bahati sehemu ile ya kusubiri gari palikua na watu wengi sana walikua wanasubir gari ambayo ndo hio ninayoisubir mimi ghafla ata mda haujaenda sana niliskia sauti za watu "gari inakuja hio" mh mtu mzima nikakaa sawa nikaweka rasket yangu vema mgongoni......INAENDELEA