Album imeachiwa tarehe 20 april 2018. Kama tayari umesha isikiliza karibu tufanye review ya hii album. Ni moja kati ya album kali nilizo sikiliza mwaka huu mpaka sasa hivi.
Track list:
My...
movie tayari imeanza kuonyeshwa kwenye majumba ya sinema duniani kote na inategemewa kuvunja rekodi ya box office ,tutegemee hata black panther itapitwa hapa mana hata black panther imo ndani yake...
Tokea nisikilize TBC Taifa sasa yapata mwezi marejeo ya vipindi vya Pwagu na Pwaguzi mchana saa saba kasoro robo na jioni saa kumi na mbili kasoro robo siku za jumatatu mpaka ijumaa, kiukweli...
Mzalendo ameachia ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la Fyatua Bomu.
Najiuliza huyu jamaa ndio msanii pekee, au raia pekee alieamua kuongea hadharani bila uoga?
Wakuu heshima kwenu
Baada kocha mzambia Lwandamina kuondoka kinyemela leo tumepata taarifa kwamba timu ya Yanga imepata kocha Mpya kutoka ufaransa mwenye asili ya Kongo DRC.
Kwakuwa huyu kocha...
Habar wandug, naomba msaada kwa mwenye wimbo wa O-ten ft Hard Mad-Voice mail anitumie mana nimeutafuta sana mtandaon cjaupata.
najua JF ndio kila kitu
Sent from my HUAWEI Y625-U32 using...
habari za leo ,
filamu ya leo inahadithia maisha ya mama anaeteseka sana, anavyo kutana na familia yenye uwezo yakumsaidia anagundua na ku fufunua siri kubwa ya hio familia.
Huu muziki umekuja kwa kasi sana na kujizolea umaarufu Mkubwa kwenye media na baadhi ya wadau haswa vijana lakini huu mziki naliona kaburi lake 2018 kwa sababu zifuatazo
1. Wadau wakubwa wa muziki...
Moja ya album bora kabisa za Hip Hop mbaka sasa kwa mwaka 2018. Production on point & carefully structured. Cole na flow ya hatari ndani ya mzigo huu mpya huku akiwa Na maudhui ya hatari ikiwa...
Muziki wa Bongofleva tangu uanze miaka ya 90 mwishoni umefanikiwa kuibua majina mengi makubwa, lakini tofauti na ilivyo sasa kipindi huu muziki unaanza ilikuwa ili utoboe ni lazima uwe na album...
Angekuwepo rafiki nisingewaza, rafiki kipenzi ninayempenda x2 hayupo tena duniani swahiba,nliyempenda toka kumoyo swahiba....
Alikuwa ni kijana mwenzetu Jebby akishirikiana na afande sele miaka...
As a being
I've always wished
To be a majestic king
One so strict
If you mess, like a disturbed bee
You end up with a sting.
I've always envied David,
It's a mystery how he managed
To kill...
MARY MARIAM (01)
BEKA MFAUME
Alizaliwa nje ya ndoa. Baba yake hakuwahi kumwona ingawa aliamini yuko hai. Alisikia tu akiambiwa baba yake ni Mwarabu. Aliamini hivyo kwa sababu hata damu yake...
habari wana jamvi, kama kichwa kilivojieleza hapo.. napenda kujua jina la wimbo mmoja ulinivutia sana nikiwa mdogo ila nimesahau jina lake. moja ya mistari yake ilikua ikiimbwa hivi
"pilipili ya...
Good news tuliyokua tukiisubiri gunners hatimae imekua mzee kinganganizi babu wenger aamua kustep down at the end of season. Hatuna cha kukumbuka zaidi ya stress zako
Arsene Wenger to leave...
Wadau na wapenzi wa movies especially Hollywood movies nimeona ni vizuri nikashare na nyie my 25
sio mbaya nawe ukacomment au ukamention za kwako, vigezo nilivyotumia kupata hii top 25 list ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.