Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
UBETI WA KWANZA
Switch s2kizzy baby
Habari oo habari habari habari habari oo habari oo
Habari habari habari habari ooo
Mpenzi ni kama una demu mmoja
Wapenzi ni kama una demu wawili
Kucheat ni kama una demu watatu
Ni vita ukishikwa na demu wanne
Na mpira kuvua ni game ya tano
Utelezi ndo utamu wa amri ya sita
Vunja days kwa demu ni siku ya saba
Ni hatari ukipiga ile siku ya nane
Ubaba ni baada ya miezi mitisa
Mfukoni hauna hata shilingi kumi
Amesafiri baby
Hafu ya mwili nayo inazidi shamiri
Kiraruraru kinapanda huelewi
Kiraruraru hakishuki huelewi
Leo kumekucha mapenzi tena watu wanauza roho shtuka mapema
Nitaendelea
Switch s2kizzy baby
Habari oo habari habari habari habari oo habari oo
Habari habari habari habari ooo
Mpenzi ni kama una demu mmoja
Wapenzi ni kama una demu wawili
Kucheat ni kama una demu watatu
Ni vita ukishikwa na demu wanne
Na mpira kuvua ni game ya tano
Utelezi ndo utamu wa amri ya sita
Vunja days kwa demu ni siku ya saba
Ni hatari ukipiga ile siku ya nane
Ubaba ni baada ya miezi mitisa
Mfukoni hauna hata shilingi kumi
Amesafiri baby
Hafu ya mwili nayo inazidi shamiri
Kiraruraru kinapanda huelewi
Kiraruraru hakishuki huelewi
Leo kumekucha mapenzi tena watu wanauza roho shtuka mapema
Nitaendelea