Thanks a million brother hii nyimbo nimeitafuta almost three yrs seriously nilikata tamaa naipenda sana mkuu, God bless u umeokoa jahazi, nimepost asubuhi ila kila wakati nilikuwa naangalia kama nimesaidiwa ila sasa hivi ndio nakuta umenisaidia. Pamoja[emoji122][emoji122]long tally sally by little richard