BBNaija 2018 final week...

BBNaija 2018 final week...

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,692
wakuu kwa wale wapenzi wa hizi mambo kutoka king'amuzi pendwa cha DSTV...week hii ni week ya mwisho yaani Final na walioingia final ni
1.Tobi
2.Miracle
3.Cecee
4.Alex
5.Nina

Je unampigia nani chapio la kuondok na kititaa...Mimi na mahaba binasfi na Tobii na na wish aondoke na kititaaa..je wew?
Nawakilisha!
 
Back
Top Bottom