KISWAHILI SERIES *FREE*

KISWAHILI SERIES *FREE*

Joined
Mar 1, 2018
Posts
51
Reaction score
7
Series mpya ya kiswahili! ina hadithia mahusiano ya binti Hariri na mchumba wake Aaron. Familia yake Aaron hawamtaki Hariri na wamempangia msichana mwingine wa kuoa! checki hapa kupata episode zote 54! Pia share na friends wako na familia yako!




 
Habari za leo
Tamthilia mpya ya kiswahili inaitwa "DHAMIRA" ni story inayo onyesha watu kijijini na mjini, jinsi wanavyo pigana kuboresha maisha yao katika mazingira na hali ngumu. Ni story yenye, action, mapenzi, uchawi na mengi zaidi! USIKOSE!
Waigizaji ; Jumaa Mtima, Prosper Kire, Halima Mualid, Asha Saidi, Yahaya Haisu, Christina Zakariah Na Tariq Ramadhani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom