Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wana JF Eti ule wimbo una sema "sijui usilete stori zako za kubet..... " Then kuna sehem ansema tena "majeruhi kwenye ajari anaomba selfie" Unaitwaje huwo wimbo Mwenye kujua Adrop comment Ahsantee
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Wakuu,natafuta wimbo huyu "chilambo cha vene" Umeimbwa na Tongolanga,
0 Reactions
2 Replies
3K Views
WCB
Harmonize ft Sarkodie - DM Chick [emoji116]
0 Reactions
0 Replies
807 Views
IMBANAMIMI AFRICA 2018. Kama una unakipaji cha muziki na unataka kuwa kama, au kuimba na msanii yeyote superstar TANZANIA na AFRICA unaweza kutumia simu yako ya mkononi kujirecord video au audio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watanzania habari ya Muda huu. Naomba Msaada juu ya Hili suala. Miaka ya 2000 hivi kulikuwa na Filamu za Kitanzania Zilizokuwa zikionyeshwa TBC, wakati huo Nadhani ilikuwa TVT. Kulikuwa na...
1 Reactions
3 Replies
960 Views
Bila kubisha naamini Africa ni bara lenye wanawake wazuri sana japokuwa linasumbuliwa na matatizo mbalimbali. Hii ni orodha ya nchi zinazoongoza kwa wanawake wenye mwonekano mzuri zaidi. 10...
1 Reactions
82 Replies
103K Views
Hakuna ubishi kuwa Alli Kiba ni mwanamziki aliyekulia ktk maadili ya imani ya kiislamu ambayo kimsingi kwa mujibi wa imani hiyo mziki ni haramu na hili Ali Kiba analijua kwa7bu amekaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanaume analala chumba tofauti mwenza wake wataalam wanasema mwanaume inapendeza ukitaka mzigo unakwenda unagonga unarud
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sisi wengine ni wapenzi wa Mziki japo mara moja au mbili kwa juma. Zamani nilikuwa naenda club/bar kuanzia Ijumaa lakini sasa nimepunguza sana. Pengine mara moja au mbili kwa wiki. Na kwa hakika...
7 Reactions
70 Replies
11K Views
Asiye na mwana aeleke jiwe ndivyo ninavyoanza kusema kuhusu mechi ya leo kati ya watani wa jadi. Timu zote mbili zisibweteke kwani zina nafasi sawa yeyote anaweza kuwa mshindi. Likini yule...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Ktk moja ya nyinmbo za marehemu Mbarak wa Morogoro, anayataja makundi yaliyokwenda kwenye Expo70, Moja ya kundi hilo ni wanasanaa wa Chuo kikuu, akimaanisha chuo kikuu cha Dar es Salaam. Naomba...
1 Reactions
0 Replies
933 Views
SHAIRI UTANI WA JADI YANGA NA SIMBA Leo siku imefika Siku tuliyoitaka Mwali wetu atatoka Bikira tutamtoa Ukweli ninatamka Malengo tuliyaweka Kwa mwali kumualika Tupate jifaidia Msimbazi...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wanaopenda kujifunza & kuuliza mambo yote yanayohusu teknolojia...mnakaribishwa njoo ujifunze Whatsapp 0714921412....BURE 100%
1 Reactions
2 Replies
779 Views
Ndugu, kama mjuavyo mwaka 2015 , 16 kulikua na action movies za maana zilizo jumuisha john wick, unlocked u.n.c.l.e spy kingsman secret service rogue nation na nyingine nyiingi kama hizo ila kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, kama kuna mwenye link ambayo nitaweza kushusha Series ya Naagin msimu wa pili, anisaidie, Shukran.
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Naona wanacheka wenyewe na kupigana tu na hili li jamaa llinene linavaa minguo michafu iliyochanika dah!!.. bongo bado sana!
5 Reactions
58 Replies
7K Views
Katika wimbo wake unaitwa "nasema nao" Msanii ney wa mitego ameamua kumchana profesa lipumba asiwe king'ang'anizi ndani ya chama ambapo katika huo wimbo ney wa mitego anasema "Usiwe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Juzi ilikuwa siku ya vitabu duniani.Hivyo nafikiria mimi na wewe tutengeneze group letu la whatsapp la kusoma vitabu ambalo tutaliita "The Book Readers Forum[emoji432]." Group letu litakuwa na...
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Karibuni tuburudike ktk show ya snura ndani ya EATV japo akiwaga kwenye show zenyewe zinakuaga ni shida zaidi ya hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom