Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari wakuu!! kwa wale wote wanao fuatilia MARK ANGEL COMEDY tukutane hapa.. Hivi ni vichekesho vinavyotoka kila ijumaa (episode moja) Vinarushwa youtube.. Mimi binafsi nampenda "success"...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Ni jioni tulivu, nachukua KIFAA changu kisha naanza kupekua pekua kwenye kwenye "folder" la HIPHOP... Nakutana na albamu ya Jay Z inayoitwa "The Blueprint", naamua kuzicheza ngoma zote kwa pamoja...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Kizomba dance ni aina ya uchezaji show unaopendwa sana huko overseas.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yupi ni bora kuliko mwenzake maana nyimbo zao zinafananafanana hivi.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hakuonekana na binti hakuwahi kuiasi dini Mfuasi mzuri wa maadili lakini alikufa kwa ngoma Aliwarudisha waliopotea akawapa tiba mbadala Na adui mkubwa wa zinaa lakini alikufa kwa ngoma Najaribu...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukisikia Political correctness ndio haya, hii ilikuwa nafasi nzuri zana kwa mabrazameni wa D-TOWN kujichanganaya na ma redbones lakini wapi.... anyway mimi hii nilihisi tu inaweza kuja kuwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
I'd rather die than faking life. https://hivisasa.com/posts/14216536-i-would-rather-die-respected-than-fake-lifestyle-for-popularity-alikiba Anasema yeye hawezi ku fake life. Bora afe akiwa real...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Show hii yaoneshwa CLOUDS na AZAM...lakini kawaida sanaa... Nilitegemea makubwa sana na hii TV SHOW ambayo tumeitohoa kwa wenzetu huko kama America' got talent... Nikategemea tutaona vipaji...
13 Reactions
69 Replies
10K Views
Nini Maoni yako kuhusu Ujumbe wa Video mpya ya Rosa Ree Nguvu za Kiume
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Nani akili kubwa zaidi kati ya Professor wa Money Heist na Michael Scofiled wa Prison Break?
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari ya asubuhi wana Jf Kama kichwa kinavyosema nimesikiliza WASAFI FM kutwa cjasikia ngoma ya konde na huko nyuma haikuwa hivyo..ilikuwa kila baada ya dk lzm usikie ngoma ya konde lakini sasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa Najitahidi sana kuidownload nyimbo ya THE MAFIK-PASSENGER lakini inakataa,inaandika FAILED FORBIDDEN,NISAIDIENI WAKUU,AU NYIMBO IMEFUNGIWA?
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna movie moja jina nimesahau, cover page inaonesha mwanamke yuko uchi kamkumbatia jamaa lakini nyuma demu kashika kisu. Anayekumbuka jina la hiyo movie tafadhali.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kuwasalimu kwa jina la Bwana wapendwa watu wa MUNGU. Naomba niliweke vizuri jambo hili. Jana nilipokuwa sehemu nasubiri muhamala usome nichukue changu, pembeni kuna kijana anaingiza nyimbo...
1 Reactions
12 Replies
13K Views
Kwa mahitaji ya Live Band karibu saana upate burudani nzuri kutoka kwetu, tunaimba nyimbo aina zote (COPY) tunapiga katika event yoyote. Lounge / Grill, Hotel / Bar, Beach / Club Harusi / send...
1 Reactions
2 Replies
916 Views
Balenciaga, got it for you Somewhere in the sky, got a clear view Everything Supreme that we do (oh) Everything is Gucci that you do (oh) So everything Supreme and BP Everything Supreme and BP, oh...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mambovipi wakuu? Nimeona nifungue hii thread kwa wale ambao kucheza games za computer na nyinginezo ni moja ya starehe zetu baada ya kazi, kama wanywaji wa pombe wanavyojiburudisha, tupeane setup...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom