zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 818
- 536
Napenda kuwasalimu kwa jina la Bwana wapendwa watu wa MUNGU.
Naomba niliweke vizuri jambo hili. Jana nilipokuwa sehemu nasubiri muhamala usome nichukue changu, pembeni kuna kijana anaingiza nyimbo kwa Computer.
Akaja mwanadada akaomba kuingiziwa wimbo wa UPO WAPI EE MUNGU WANGU. Akasema uliimbwa na Neema Mushi(Mwaipopo). Hapa ndo napotaka kuweka vizuri,wimbo huo haukuimbwa na Neema Mwaipopo bali umeimbwa na William R Yilima unapatikana katika Albamu yake ya Upo wapi ee Mungu wangu. Williama Yilima na Neema Mwaipopo wamefanana sauti kwa kiasi kikubwa sana. Huyu jamaa ana nyimbo mnoo
Asanteni ni hilo tu kwasasa