Eminem na Unyama aliomfanyia Jay Z kwenye Renagade

George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
4,021
4,913
Ni jioni tulivu, nachukua KIFAA changu kisha naanza kupekua pekua kwenye kwenye "folder" la HIPHOP...
Nakutana na albamu ya Jay Z inayoitwa "The Blueprint", naamua kuzicheza ngoma zote kwa pamoja, yaani chuma baada ya chuma, asikuambie mtu "The Blueprint" ni bonge moja la kitu kutoka kwa Jay Z...
Nikiwa naendelea kusikiliza "mawe" ya kibabe kutoka kwenye hii albamu "KONKI", mara paap RENAGADE hiyo, kwenye hii "ngoma" Jay Z amemshirikisha Eminem...
Unyama alioufanya Eminem kwenye huu wimbo ukanifanya niurudie zaidi ya mara 10...
Hakika Eminem ni GOAT wa muziki wa HIPHOP..!
 
Mi juzi nilimwambia my nephew hawa watoto wa siku hizi sijui Meek Mills,Drake et al ..kuimba hwajui kanibishia moaka mishopa ya uso na shingo ikamtoka..
I am mid 30s,basically ni generation ya kina Nas,Eminem,Jay Z,the Game,2 Pac et al..huwa napata burudani nikisikiza hawa wan..hawa watoto wa siku izi mi siwaelewi kabisa,nawaon ka 'chwing gum' za bongo flevaau sijui ndo NOSTALGIA..
kama wazee wanavosema miziki yao ndo mitamu..I stand to be corrected....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom