kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,879
mambovipi wakuu? Nimeona nifungue hii thread kwa wale ambao kucheza games za computer na nyinginezo ni moja ya starehe zetu baada ya kazi, kama wanywaji wa pombe wanavyojiburudisha,
tupeane setup za magemu mapya tutumiane kwenye email kwa njia ya ku'compress setup na Winra.
kwa upande wangu nishacheza PES 2011,2012,2013,2015,2018, GTA Vice city,san andreas,Hot persuit NFS, NFS underground etc kwenye PC
Karibuni wadau.