Mwanakijiji: Party iko cancelled | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanakijiji: Party iko cancelled

Discussion in 'Entertainment' started by Game Theory, Oct 13, 2007.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ukisikia Political correctness ndio haya, hii ilikuwa nafasi nzuri zana kwa mabrazameni wa D-TOWN kujichanganaya na ma redbones lakini wapi....

  anyway mimi hii nilihisi tu inaweza kuja kuwa conrovesho tangu nilipoiona ile invitation Card

  Can you imagine Dtown kuna ma redbones wangapi? halafu entry ni free ila wale wajaluo ndio inabidi walipe

  Noma!

  sasa MKJJ wikiendi watu wanajimwaga wapi?

  [​IMG]   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Oct 13, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  duh.. miye mweusi kama mpingo...
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  mjomba umemiss the point

  Jamaa FREE ENTRY ni kwa ajili ya MADEMU ambao ni RED BONES halafu wale weusi tiii inabidi walipe na of course sie si unajua sie market yetu bado iko juu hivyo wanaume ni wote

  sasa PC briigade waishaibebe bango na party imefutwa
   
 4. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  heheee, mie sina la kusema !
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Oct 13, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  kumbe... wamarekani nao wana issue zao.. si waende Tabora!!
   
 6. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  duh ! kwa hiyo ukiingia watu watakuwa wanafuata kivuli tu !
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  la kusema lipo kule kwenye forum ya "FORUM YETU"
   
 8. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  basi acha niende kule maana sikuingia tokea jana !
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  wahi kabla Ole hajaanza kuzfuta

  nadhani itabidi tupewe forum yetu by end of thsi weekend

  hata kama ni kwa special access poa
   
Loading...