Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Yupi ni bora kuliko mwenzake maana nyimbo zao zinafananafanana hivi.
Tylor Swift kamzidi sana Katy. Sioni kama Katy anampata Swift kwa chochote maana kama mafanikio unaangalia awards basi Swift anazo za kutosha na amemzidi sana KatyYupi ni bora kuliko mwenzake maana nyimbo zao zinafananafanana hivi.
Shukrani sana mkuuTylor Swift kamzidi sana Katy. Sioni kama Katy anampata Swift kwa chochote maana kama mafanikio unaangalia awards basi Swift anazo za kutosha na amemzidi sana Katy
Yupi ni bora kuliko mwenzake maana nyimbo zao zinafananafanana hivi.
Wewe acha kulinganisha mtoto mzuri Katy Perry na hako kamdoli.Ï love Swift, huyo katty ajipange