Nimefika jijini Tanga, ni siku nne sasa zimeshapita.Nimepambana na shughuli zilizonileta, na wiki endi hii nataka nikajichanganye na popo wenzangu kwenye Night clubs.
Wenyeji wa Tanga tafadhali...
Habari members, kwenye pitapita mtandaoni nimekupta na website ya kusoma hadithi na kuingiza pesa kwa shirikisha watu kujiunga na kupata sh 1200 kwa kila anayejiunga na kulipia sh 3000 kwa siku...
Muziki wa dansi hakika Unarejea mdogo mdogo kwenye Hadhi yake kama ilivyokuwa zamani,pamoja na kupotezwa na Wadau ili muziki wa kizazi kipya ushike chati lakini ni faraja kubwa kwa Sisi wafia...
Kuna ile tamthilia ya betrayal ambayo huonyeshwa na azam two kila siku za j3 hadi ijumaa saa 3:30,kuna ule wimbo uliotumika mle ndani nimeupenda sana ila tatizo siujui wa nani....kama kuna mtu...
Naitwa Patrick Ck mwandishi wa simulizi mbali mbali kama vile
MISS TANZANIA
SERENA
BEYOND PAIN
BEFORE I DIE
PENIELA
THE FOOTBALL
QUEEN MONICA
I DIED TO SAVE PRESIDENT
I WAS WRONG
TEN CHAPTERS...
Jana NetFlix imetoa taarifa nzuri na mbaya kwa wapenzi wote wa huduma zao.
Taarifa mbaya ni kwamba kuna baadhi ya filamu na Tv Shows zitashushwa kwenye tovuti yao na taarifa nzuri ni kwamba Muvi...
Jaman wapenzi watazamaji wa vyombo vya habari (TV), Ni kwa nini nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ hazipigwi kwenye EATV??. Kiukweli huwa nashindwa kuelewa. Hata kwenye vile vipindi vya "Top Ten na Bongo...
MBIO ZA SAKAFUNI HUISHIA UKINGONI 1
Ulikuwa ni wakati wa chakula cha usiku. Waziri Mkuu Dastan Lazaro na familia yake ya watoto watatu Vero, Monica na Sofia pamoja mke wake Vicky walikuwa katika...
Ama main character aliyetumia akili sana kwenye series ni MICHAEL SCOLFIELD jamaa alicheza vizuri sana series hii ila hata kwa ujumla mtuzi wa hii series alitumia akili kubwa sana achana na haya...
Mchezaji wa PSG na taifa la Brazil atakuwepo kwenye series ya Kihispania ijulikano Kama 'La casa de papel' au (Money Heist)
Ikiwa bado kuna mazungumzo ya kumhamisha Neymar kutoka PSG kurudi...
Nimeona nilete huu Uzi hapa kutokana na movie nlio kua naiangalia sijaielewa kabisa
Ati movie imeigizwa maabusu Kuna ubao wa chaki .. he hili Ni kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.